![]() |
Rais Dakta JAKAYA KIKWETE akiweka udongo katika Kaburi la Balozi ATHUMANI MHINA aliyezikwa katika kijiji cha Mnyuzi kilichopo Wilayani Korogwe. |
![]() |
Baadhi ya watu waliohudhuria Mazishi hayo nyumbani kwa Marehemu Balozi MHINA kijiji cha Mnyuzi wakiwa katika hali ya Majonzi na Huzuni kubwa kufuatia Msiba huo. |
No comments:
Post a Comment