Idadi ya waliofariki katika ajali Mv Spice Islander yafikia 240,huku jitihada ya uokoji wa manusura na miili zikiendelea eneo la Nungwi visiwani Zanzibar.
Baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU pamoja na wanaharakati wengine wa uokozi wakibeba majeruhi aliyenusurika na kifo katika ajali ya kuzama kwa Meli ya Mv SPICEISLANDER,katika ufukwe wa bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja.
No comments:
Post a Comment