Marehemu RACHEL MWILIGWA
TANGAZO LA MSIBA
Mwili wa marehemu RACHEL MWILIGWA aliyekuwa mhariri wa gazeti la MTANZANIA linalomilikiwa na kampuni ya NEW HABARI CORPOROTAION utaagwa tarehe 14.5.2012 katika kanisa la ANGLIKANA UBUNGO jirani na Shule ya msingi ya national housing.
Waaandishi wahabari na wadau wa michezo nchini wanaombwa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria ibada hiyo ambapo baadae saa sita mwili utapelekwa eneo la GOBA nje kidogo ya jiji la DSM kwa ajili ya mazishi.
Tunashukuru kwa ushirikiano ulionyeshwa kutoka waandishi wenyewe,wananchi na wadau wa michezo nchini katika kufanikisha jambo hili.
Taarifa hii ni kwa kujubu wa kaka wa marehemu ALEX CHIMELA
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
No comments:
Post a Comment