* Kocha wa Masumbwi Super D awafua Vijana wa Kambi ya Ilala
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, RAJAB MHAMILA Super D (kulia) katika picha mbili tofauti akiwafundisha mabondia wa Kambi ya Ilala Jijini Dar es Salaam SAIDMTITU pamoja na EMANNUEL MALOLO jinsi ya kutupa makonde.
No comments:
Post a Comment