Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dakta Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania , John Mutinda Mutiso, wakati alipofika kumtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam Kushoto ni Msaidizi wa Balozi, Muthomi Muithiga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mavis Lengalenga, baada ya mazungumzo wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment