Rais JAKAYA KIKWETE, akimuapisha rasmi Balozi OMBENI YOHANA SEFUE kuwa Katibu Mkuu Kiongozi badala ya Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, PHILLEMON LUHANJO, aliyemaliza muda wake.
Rais JAKAYA KIKWETE, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL,Waziri Mkuu, MIZENGO PINDA, Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi OMBENI YOHANA na Balozi Kiongozi Mstaafu, PHILLEMON LUHANJO, wakizungumza jambo baada ya hafla ya kuapishwa rasmi kwa katibu huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi OMBENI YOHANA (kushoto) akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, PHILLEMON LUHANJO, mara baada ya kuapishwa na Rais KIKWETE kuwa katibu mkuu kiongozi mpya.
Rais JAKAYA KIKWETE, Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi OMBENI YOHANA, wakipiga picha ya pamoja na Makatibu wakuu, baada ya hafla ya kumuapisha Katibu Mkuu Kiongozi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment