Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt ALI MOHAMMED SHEIN akitoa salamu za kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 Biladiya, kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla, ikiwa ni pamoja na kuwatakia amani na utulivu, ambapo amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali yao kwa michango mbali mbali katika jitihada za kuliletea maendeleo taifa la Tanzania.
No comments:
Post a Comment