Rais JAKAYA KIKWETE akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI Mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, akimwakilisha Rais JAKAYA KIKWETE, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, kilichofanyika katika Ukumbi wa Tamisemi Mjini Dodoma.
Rais JAKAYA KIKWETE akiongea Jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi Serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment