Tuesday, August 9, 2011

* Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohammed Shein kwa nyakati tofauti amekutana na Balozi wa Nigeria nchini pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Mabohora Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMMED SHEIN akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dakta ISHAYA SAMAILA MAJANBU alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMMED  SHEIN akisalimiana na Balozi wa Nigeria Dakta ISHAYA SAMAILA MAJANBU kabla ya kuanza mazungumzo yao.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMMED SHEIN akisalimiana Viongozi wa jumuiya ya Mabohora Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti AAMIL SAHEB SHEIKH SHABBIR ISMAIL walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana nae.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMMED SHEIN akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Mabohora Zanzibar, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment