Wednesday, August 17, 2011

* Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohammed Shein azungumza na Watendaji wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Visiwani humo



Rais wa Zabziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta ALI MOHAMMED SHEIN akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii ,Utamaduni na Michezo, katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, Ikiwa ni mfululizo wa ratiba zake za kuzungumza na kila Wizara,katika kuhakikisha taasisi za wizara hizo zinatekeleza majukumu yake.



No comments:

Post a Comment