Tuesday, August 16, 2011

* Wananchi wa Vijiji vitano katika wilaya ya Bagamoyo kufaidika na mradi wa visima


Kutoka kushoto ni BERTHA IKUA wa kampuni ya Spear head Africa Dakta SALIM ABDULLA Mkurugenzi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara pamoja na NARCISIUS NGAILLO ambae ni meneja mauzo wa kampuni ya Vinywaji ya Tanzania Distillers Limited wakizungumza na waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa mradi wa uchimbaji wa Visima takribani 6 katika vijiji vitano vilivyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani ambavyo vitagharimu kiasi cha Shilingi milioni 42.

No comments:

Post a Comment