Saturday, October 15, 2011

* Rais wa Zanzibar Dakta Ali Shein ahudhuria mkutano wa Jumuia ya Wafanya Biashara na wenye viwanda ZBC


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk ALI MOHAMMED SHEIN akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara wenye viwanda na wakulima ZBC MBAROUK OMAR wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk ALI MOHAMMED SHEIN akizungumza na wadau mbali mbali katika mkutano wa siku mbili wa Baraza la Biashara ZBC(kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, NASSOR AHMED MAZRUI na (kulia) ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi ABDIHAMID YAHAYA MZEE.



Wadau mbalimbali walioalikwa katika mkutano wa Baraza la Biashara chini ya uenyekiti wake Dk ALI MOHAMMED SHEIN wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Salama Bwawani Hotel wakisikiliza mada mbalimbali zilizotolewa katika mkutano huo wa siku mbili.

No comments:

Post a Comment