Saturday, November 19, 2011

* Wanachuo UDOM wafanya Kongamano kujadili kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.


Mwendesha Mada CHARLES MUHONI akitoa ufafanuzi juu ya Shilingi ya Tanzania Kwanini inaporomoka kila siku katika kongamano lililofanyika katika ukumbi wa kufundishia wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM.


Mwanafunzi anayesoma Shahada ya Uchumi FIDELIS MROSSO akifafanua juu ya Maswala mazima ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Pesa za kigeni hasa Dola ya Marekani.

Mwanafunzi anayesomea masuala ya Uchumi, ZAHARA MUHIDIN akichangia Mada wakati wa Kongamano hilo.


Baadhi ya Wanafunzi walioshiriki Kongamano hilo lililofanyika katika Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM.

No comments:

Post a Comment