Wateja wa Kampuni ya Tigo nao pia walipata fursa ya kushinda zawadi mbalimbali pamoja na kupata huduma za mtandano wa Tigo zilizopatikana katika vibanda vya Tigo.
Msanii H.Baba pia alikuwepo kutumbiza katika Tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment