Picha hizi zinaonyesha matukio mbalimbali yaliyofanyika wilayani Babati, ambapo kampuni ya tiGo iliwapatia wateja burudani kutoka kwa mwanamuziki H.Baba , Pia wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali kutoka kwenye vibanda vya tiGo vilivyopatikana viwanjani hapo, ambapo Zawadi kama T-shirt za tiGo, Simu na kofia zilitolewa katika tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment