Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (CCM) UVCCM wilaya ya Temeke PIUS SELEMAN 'Pukapuka' akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo Wilayani humo, Bwana ATHUMANI NYAMLAN Dar es Salaam, anaeshudia katikati ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bwana RAMADHANI MGOMI.
No comments:
Post a Comment