Rais Dkt JAKAYA KIKWETE akiagana na Balozi wa Canada hapa nchini Bwana ROBERT J. ORR ambae amemaliza muda wake wa uwakilishi, katika Ikulu ya Mjini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, akizungumza na Balozi wa Canada ROBERT J. ORR, aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.
No comments:
Post a Comment