Picha mbalimbali zinazoonyesha matukio tofauti yaliyofanyika wakati wa tamasha la Tigo lililofanyika Mjini Kahama katika eneo la stendi ndogo, katika tamasha hilo burudani zilitolewa na kikundi cha sarakasi na msanii H. Baba kutoka mjini Dar es Salaam aliwapagawisha kwa Burudani safi ya Muziki wateja wa Kampuni hiyo.
Pia wateja wa Tigo walipata fursa ya kushinda zawadi mbalimbali kama vile simu, Tshirt na kofia za TigoVilevile huduma za Tigo zilipatikana katika viwanja hivyo.