* Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim SEIF SHARIFF HAMAD akutana na Wakurugenzi wa Bodi ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim SEIF SHARIF HAMAD akipokea Kabrasha la mpango mkakati la maendeleo ya Utalii Zanzibar kutoka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, ISSA AHMEID OTHMAN ofisini kwake Migombani.
No comments:
Post a Comment