Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Profesa, SAMUEL MUSHI, aliyefariki wiki iliyopita jijini Dar es Salaam,Shughuli za maziko na kuaga mwili wa marehemu zimefanyika kwenye Ukumbi wa Nkurumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lenye mwili ya Marehemu Profesa SAMUEL MUSHI, wakati alipofika kuaga mwili wa Marehemu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akiwafariji wanafamilia ya marehemu Profesa SAMUEL MUSHI.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akizungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, BENJAMIN WILLIAM MKAPA nje ya ukumbi wa Nkurumah baada ya kuaga mwili ya marehemu Profesa SAMUEL MUSHI aliyefariki Jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment