Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa tatu wa Baraza la Wakuu wa Vyuo Vikuu huria Afrika wa siku tatu kuhusu Elimu ya mafunzo ya Masafa unaohudhuriwa na washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo wa siku 3, kuhusu mafunzo ya Elimu ya Masafa unaowashirikisha wakuu wa Vyuo Vikuu Huria kutoka nchi za Afrika.
No comments:
Post a Comment