Mtoto FELIX FINKBEINER kutoka Nchini Ujerumani Kulia akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akiwa tayari kuanza Ziara ya Upandaji wa Miti katika Shule za Msingi kupitia kampeni yake inayoitwa Plant the Planet Stop talking ambapo anatazamiwa kuelekea Visiwani Zanzibar na Baadae ataenda mkoani Arusha pia anatazamiwa kupanda Mlima Kilimanjaro akiwa katika ziara yake hapa nchini.
No comments:
Post a Comment