Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim SEIF SHARIFF HAMAD akizungumza na wananchi na wachimbaji wa matofali huko Vitongoji Uwandani.
Naibu Katibu Mkuuu katika Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Dakta ISLAM SEIF akitoa ufafanuzi kwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim SEIF juu ya utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kufukia mashimo yaliyotokana na kazi za uchimbaji na upasuaji wa matofali Vitongoji Uwandani.
Kiongozi wa wachimbaji na wapasuaji wa matofali KOMBO ALI "Mbunge" akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, juu ya utekelezaji wa mpango wa kufukia mashimo yaliyotokana na kazi za uchimbaji wa matofali huko Vitongoji Uwandani.
No comments:
Post a Comment