Wananchi wakitazama jinsi basi la ABOOD lilivyopinduka huku wengine wakiokoa abiria waliopo kwenye basi hilo asubuhi ya leo.
Basi la kampuni ya ABOOD likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi likiwa linatoka Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo.
Chanzo cha ajali hii hakikujulikana ila inasemekana ni kutokana na dereve ku-overtake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka.
No comments:
Post a Comment