Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, OMAR SAID HUNDA, aliyeamua kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya Chama hicho zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Baadhi ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho.
No comments:
Post a Comment