Rais JAKAYA KIKWETE akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya CCM katika uwanja wa Kirumba Jijini Mwanza.
Mama SALMA KIKWETE na Spika ANNE MAKINDA na akina mama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa mwanamuziki VICKY KAMATA.
Rais JAKAYA KIKWETE akiongoza matembezi ya mshikamano mapema asubuhi wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya Chama cha Mapinduzi CCM.
No comments:
Post a Comment