Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt ALI MOHAMMED SHEIN akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania NEC Jaji DAMIAN LUBUVA, akiongoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikuku Mjini Zanzibar kuonana na Rais, katikati Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar, pia Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo HAMID MAHAMOUD HAMID.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt ALI MOHAMMED SHEIN, akizungumza Ujumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, NEC ukiongozwa na Jaji DAMIAN LUBUVA (wa nne kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment