Mwenyekiti wa CCM Rais JAKAYA KIKWETE akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt MOHAMMED ALI SHEIN, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt AMANI ABEID KARUME, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj ALI HASSAN MWINYI, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) PIUS MSEKWA na Katibu Mkuu wa CCM WILSOM MUKAMA kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment