Sunday, February 5, 2012

* Dakta Mohammed Bilal mgeni Rasmi katika Sherehe za maulid Jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, ALI HASSAN MWINYI, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika shamrashamra za mkesha wa sherehe za Maulid jijini Dar es Salaam.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu EDWARD LOWASSA, wakati wakiwa katika sherehe za mkesha wa Maulid zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Mnazi mmoja.



Muumin wa dini ya kiislam kutoka Msikiti wa Suni Hanafi wa jijini Dar es Salaam, MUZAMIL CHAKI, akiimba Qaswaida jukwaani kutoa burudani wakati wa mkesha wa sherehe za Maulid zilizofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment