Rais JAKAYA KIKWETE akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam.
Rais JAKAYA KIKWETE akiongea na Mawaziri wa kilimo wa nchi saba za Afrika baada ya kufungua mkutano huo, Nyuma ya Rais KIKWETE ni kamishna wa Maendeleo vijijni na Kilimo wa Umoja wa Afrika Bi RHODA TUMUSSIME.
No comments:
Post a Comment