Rais JAKAYA KIKWETE na Makamu wake Dkt MOHAMMED GHARIB BILAL nyuma wakishuhudia zoezi la utiaji saini, wakati Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, HUSSEIN MWINYI akisaini mkataba wa makubaliano (MoU) ya Ushirikiano katika mapambano dhidi ya Maharamia kati ya Tanzania, Afrika Kusini na Msumbiji, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, Kushoto ni Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, FILIPE JACINTO NYUSI kulia ni Waziri wa Ulinzi wa Afrika ya Kusni, LINDIWE SISULU.
No comments:
Post a Comment