Tuesday, August 16, 2011

* Makamu wa Rais Dakta Mohammed Gharib Bilal azindua Ujenzi wa Maghorofa 30 ya Kambi ya Jeshi la Polisi Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, SHAMSI VUAI NAHODHA (kulia) ni Inspekta Jenerali wa Polisi, SAID MWEMA.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL akisikiliza maelezo kutoka kwa msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi, Dakta HUBA NGULUMA.
 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, SHAMSI VUAI NAHODHA akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo.


Baadhi ya maofisa wa jeshi la Polisi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi, wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta MOHAMMED GHARIB BILAL.





No comments:

Post a Comment